HabariUncategorized

Taasisi ya Vijana Tanzania yaibuka “Yeyote atakaye jaribu kuandamana …”

Taasisi ya Vijana Tanzania Jumatano hii imeibuka na kuzungumza na waandishi wa habari juu ya mambo yanayoendelea nchini Tanzania huku ikidai kuna baadhi ya nchi za kibepari zinataka kuvunja amani. Akiongea na waandishi wa habari akiwa Traveltime jijini Dar es salaam, Katibu wa taasisi hiyo alisema kuwa yeyote atakaye andamana siku hiyo atakiona cha mtema kuni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents