Habari

Taasisi za fedha na mikopo zapata hasara kwa kuwakopesha wafanyakazi hewa

Taasisi za fedha hususan mabenki na zile zinazojihusisha na utoaji wa mikopo, zimejikuta zikipata hasara kubwa kutokana na kukopesha wafanyakazi hewa wa serikali.

ceo-mbaga-bayport
Mkurugenzi wa Bayport Financial Services, John Mbaga

Tangu serikali ianzishe msako wa kubaini wafanyakazi hewa, zaidi ya 17,200 wamebainika ambamo humo wapo wengi waliokopa fedha kwenye benki.

Kampuni ya Bayport, inayojihusisha na utoaji mikopo nchini imedai kuwa katika wateja wake takriban 2,000 waliokopa fedha zipata bilioni 5, wapo wafanyakazi hewa.

Hiyo inamaanisha kuwa kiasi kikubwa cha fedha hakitarejeshwa kwasababu, walikopesha hewa!!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents