All posts tagged "Afrika Mashariki"
-
Salum Kaorata | April 13, 2018 - 5:02 pm
(Video): Mimi napenda mademu – Kaligraph Jones
Rapper kutoka nchini Kenya, Kaligraph Jones amekubali kuwa yeye anapenda sana mademu lakini haijalishi kama akiwa ni rapper...
-
Salum Kaorata | April 3, 2018 - 1:20 pm
Msanii wa Kenya ajitolea kumsaidia Wema Sepetu kupata ujauzito (+video)
Ni muda mrefu malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu amekuwa akitamani kupata mtoto – Hilo pia amewahi kuthibitisha...
-
Salum Kaorata | March 31, 2018 - 3:15 pm
Zari aipeleka familia yake Dubai kula bata, gharama ya hoteli waliyofikia ni moto (Picha/video)
Zari The Boss Lady ametua nchini Dubai kwa ajili ya kula bata na kufurahia wikiendi ikiwa ni siku...
-
Salum Kaorata | March 23, 2018 - 10:49 pm
Zari amtupia dongo Diamond, aonyesha kupata ‘kidume kipya’
Zari The Bosslady ameendelea kutupa mawe gizani, na yameendelea kumpata muhusika wake. Mrembo huyo ametupa dongo lisilopimika kwenye...
-
Salum Kaorata | March 22, 2018 - 12:36 pm
Bdi-G The Future waingia location SA kutengeneza video ya ngoma yao mpya (+Picha)
Kundi la Bdi-G The Future kutoka Burundi wamekuwa wakipambana kuhakikisha muziki wa nchini kwao unatoboa nje ya mipaka...
-
Salum Kaorata | March 18, 2018 - 3:02 pm
Tazama video ya msanii wa Rwanda, T-Wise aliyomshirikisha Shizzo
Msanii T-Wise kutoka nchini Rwanda ambaye anaishi Marekani, ameachia video yake ambayo amemshirikisha Shizzo, Back To Me. Ngoma...
-
Salum Kaorata | March 17, 2018 - 1:54 pm
Femi One aeleza kuhusu ‘Zaga Zaga’ na sababu za kumshirikisha Mejja
Rapper Femi One kutoka nchini Kenya, amefunguka kuhusu wimbo wake mpya wa ‘Zaga Zaga’ na sabau za kumshirikisha...
-
Salum Kaorata | March 15, 2018 - 4:02 pm
New Video: Femi One f/ Mejja – Zaga Zaga
Rapper kutoka lebo ya Kaka Empire ya King Kaka, Femi One, ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Zaga...
-
Salum Kaorata | March 15, 2018 - 3:08 pm
Rick Ross kutua nchi hii Afrika Mashariki mwezi April, kufanya show ya ‘kukata na shoka’
Rick Ross anatarajiwa kurudi tena Afrika Mashariki kwa mara ya pili kwa ajili ya kufanya show. Baada ya...
-
Salum Kaorata | March 12, 2018 - 3:37 pm
Video: Dokta wa ‘Texas Cancer’ aeleza majibu ya Diamond baada ya kumualika
Dkt. Catherine Mwingesa ambaye ni daktari Mkuu wa Hospitali ya Texas Cancer Center ya Kenya inayotoa matibabu ya...
-
Salum Kaorata | March 8, 2018 - 1:48 pm
Alichokisema Willy Paul kuhusu bifu lake na Bahati (+video)
Msanii wa muziki kutoka Kenya, Willy Paul Msafi amefunguka kuhusu bifu lake na msanii mwenzake Bahati ambao wanadaiwa...
-
Salum Kaorata | March 5, 2018 - 4:00 pm
Video: Willy Paul aeleza sababu za kuwatosa Huddah na Vera kisa mrembo wa video ya Rayvanny
Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Willy Paul, amefunguka sababu za kumtumia mrembo Irene ambaye amewahi kutokea kwenye...
-
Salum Kaorata | March 5, 2018 - 2:49 pm
Rapper King Kaka afunguka kuhusu ‘Radhi’
King Kaka amefunguka sababu ya kuachia wimbo wake mpya ‘Radhi’ na sababu za kumshirikisha Barnaba kwenye wimbo huo....
-
Salum Kaorata | March 5, 2018 - 6:00 am
Video: Adabu Steven – Ifunanya
Msanii kutoka nchini Congo DRC ambaye anaishi nchini Marekani, Adabu Steven, ameachia video ya ngoma yake inayoitwa ‘Ifunanya’....
-
Salum Kaorata | February 28, 2018 - 4:36 pm
Rapper Femi One amefunguka sababu za kuachia wimbo wake mpya ‘Mkali Wao’
Rapper wa kike kutoka Kenya mwenye michano ya hatari, Femi One amefunguka sababu za kuachia wimbo wake mpya...
Follow us