All posts tagged "Afrika Mashariki"
-
Salum Kaorata | December 4, 2017 - 1:00 pm
Video: Nyashinski – Hayawani
Msanii anayetikisa Kenya kwa sasa, Nyashinski ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Hayawani’. Wimbo umetayarishwa na Cedo na...
-
Salum Kaorata | November 21, 2017 - 7:59 pm
Nyashinski ataka kulipwa 20m kwenye interview, Wakenya wamjia juu
Ni kweli Nyashinski ameanza kulewa umaarufu? Hiko ndio kitu kinachoonekana kwa msanii huyo kutoka kwa mashabiki na wadau...
-
Salum Kaorata | November 13, 2017 - 12:22 pm
New Video: Muchoma f/ Danny Nanone & Aime Bluestone
Msanii Muchoma ameachia video ya wimbo wake mpya ‘My Love Remix’ ambao amewashiriki Danny Nanone na Aime Bluestone....
-
Salum Kaorata | October 31, 2017 - 9:00 am
Ujumbe wa Jaguar baada ya Uhuru Kenyatta kutangazwa Rais wa Kenya
Msanii Jaguar wa Kenya na pia Mbunge wa jimbo la Starehe County ya mjini Nairobi kupitia muungano wa...
-
Salum Kaorata | October 27, 2017 - 5:56 pm
Alicios aguswa na Bongo Fleva, ataja wasanii wawili kwenye album yake (Video)
Msanii Alicios amefuguka kuhusu utraia wake halali wa Kenya na Congo DRC pamoja na wasanii wawili wa Bongo...
-
Salum Kaorata | October 25, 2017 - 6:02 pm
Kenya: Raila Odinga awataka wafuasi wake kususia uchaguzi wa kesho
Mgombea wa kiti cha Urais nchini Kenya kupitia muunganiko wa chama cha Nasa, Raila Odinga amewataka wafuasi wake...
-
Salum Kaorata | October 25, 2017 - 2:10 pm
Uchaguzi wa Kenya wamfanya Nyota Ndogo kushindwa kuweka wazi matatizo yake ya miaka 17
Nyota Ndogo ameshindwa kufanya kama alivyoahidi kueleza kila kitu ambacho kimekuwa kikimtesa kwa takriban miaka 17 sasa. Sababu...
-
Salum Kaorata | October 25, 2017 - 9:56 am
Nyota Ndogo aahidi kueleza A-Z yanayomtesa kwa miaka 17
Muimbaji wa Kenya, Mwanaisha Abdallah maarufu kama Nyota Ndogo amekuwa akiwaacha mashabiki wake na maswali mengi kwa kulalamika...
-
Salum Kaorata | October 24, 2017 - 10:14 am
Dela aeleza sababu ya kushirikiana na Timmy Tdat kwenye ‘We’ll Be Ok’
Msanii wa Kenya Dela amefunguka sababu ya kufanya kazi na Timmy Tdat kutoka lebo ya Kaka Empire inayomilikiwa...
-
Salum Kaorata | October 23, 2017 - 10:38 am
Picha: Bahati wa Kenya afunga ndoa na mchumba wake Diana Marua
Mwanamuziki wa injili nchini Kenya, Bahati amefanikiwa kufunga ndoa na mpenzi wake Diana Marua. Kwa mujibu ya baadhi...
-
Salum Kaorata | October 11, 2017 - 10:19 am
Picha: Alikiba anavyokula bata na Gavana Joho
Huu unaweza ukawa ni muda muafaka wa Alikiba kusherehekea mafanikio ya ngoma yake ya Seduce Me. Msanii huyo...
-
Salum Kaorata | October 3, 2017 - 10:43 am
Rapper wa Kenya Femi One aeleza sababu ya kuwashirikisha wasanii wengi kwenye remix yake
Rapper Femi One kutoka nchini Kenya, amefunguka kuhusu wasanii abao amewashhirikisha katika wimbo wake mpya ‘Tippy Toe Remix’....
-
Salum Kaorata | September 23, 2017 - 11:30 am
Huddah amchana Diamond, ‘A king lion without a heart for others is called a pus*y’
Diamond Platnumz ni kama centre ya ubuyu Bongo. Mrembo wa Kenya Huddah Monroe ameonekana kuwa upande wa adui...
-
Salum Kaorata | September 20, 2017 - 10:00 am
Arrow Bwoy ataja sababu ya kuachia ‘Digi Digi’
Unajua sababu ya msanii Arrow Bwoy kutoka lebo ya Kaka Empire, inayomilikiwa na rapper King Kaka kuachia wimbo...
-
Salum Kaorata | September 18, 2017 - 3:37 pm
Video: Eric Omondi – Zilitemwa (Zilipendwa Parody)
Eric Omond ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Zilitemwa’ ambapo original yake ni wimbo wa wasanii wa WCB,...