Mtoni
-
Burudani
Peter na Paul Okoye wamjibu kaka yao, Jude Okoye baada ya kuwatakia heri katika kusherekea siku yao ya kuzaliwa
Leo Novemba 18, Peter na Paul Okoye waliokuwa wakijulikana kama Psquare wanaadhimisha kuzaliwa kwao. Wawili hao wamezaliwa Novemba 18 mwaka…
Read More » -
Burudani
“Pambano la Floyd Mayweather na kickboxer mwenye umri wa miaka 20 bado lipo” – Nobuyuki Sakakibara
Pambano la Bondia wa Marekani Floyd Mayweather na ‘kickboxer’ mwenye umri wa miaka 20 Tenshin Nasukawa bado litafanyika usiku wa…
Read More » -
Burudani
Ariana Grande na mpenzi wake Pete Davidson waonyesha jeuri ya fedha
Ariana Grande na mpenzi wake Pete Davidson ni mwendo wa kutumia pesa. Wapenzi hao wamehamia kwenye mjengo mpya wa kifahari…
Read More » -
Burudani
Picha: Huu ndio mjengo aliouacha rapper XXXTentacion, gharama yake ni kufuru
Licha ya rapper XXXTentacion kudaiwa kuwa na kesi lukuki enzi za uhai wake, lakini ameweza kujenga mjengo wa ndoto zake…
Read More » -
Burudani
TANZIA: Rapper chipukizi aliyeshika namba moja Billboard auawa kwa kupigwa risasi
Rapper Jahseh Dwayne Onfroy ambaye anafahamika kwa jina la XXXTentacion amefariki dunia kwa kupigwa risasi mjini Florida, Marekani. Kwa mujibu…
Read More » -
Burudani
Picha: Drake aongeza namba ya warembo, aibuka na mzigo mzito
Baada ya Drake kudaiwa kuwa na mahusiano na mrembo Malaika Terry, wiki hii rapper huyo ameonekana kuibuka na chombo kipya…
Read More » -
Burudani
Nas kuachia albamu yake mpya Ijumaa hii, Kanye West aweka wazi ngoma zitakazokuwepo
Nas is back. Rapper huyo mkongwe anatarajia kuachia albamu yake mpya Ijumaa hii. Kubwa zaidi mtayarishaji wa albamu hiyo ni…
Read More » -
Burudani
Penzi la Ariana Grande lamnogea Pete Davidson, aamua kufanya hili
Pete Davidson ameonekana kunogewa na penzi la Ariana Grande. Mchekeshaji huyo ameamua kumvalishw pete ya uchumba mrembo huyo ikiwa ni…
Read More » -
Burudani
Nicki Minaj atangaza tour yake ‘NICKIHNDRXX’, aungana na Future
Nicki Minaj ametangaza ujio wa ziara yake ya kimuziki NICKIHNDRXX Tour 2018/2019. Msanii huyo wa kike ambaye anatajwa kuwa malkia…
Read More » -
Burudani
Picha/Video: Beyonce na Jay Z walivyowasha moto kwenye ziara ya ‘On the Run II’
Beyonce na Jay Z wameanza kufanya show yao ya kwanza ya ziara ya ‘On the Run II’. Jumatano hii couple…
Read More » -
Burudani
Picha/Video: Mtanzania Emanuel Austin alivyowapagawisha Wajerumani na tamasha lake
Mtanzania Emanuel Austin ambaye ni mwalimu wa dansi (Choreographer) nchini Ujerumani ameendelea kufanya matamasha yake ambayo yamezidi kufanya vizuri. Wikiendi…
Read More » -
Burudani
Davido kutumbuiza kwenye tamasha la Jay Z
Davido amepata bahati ya kutumbuiza kwenye tamasha la rapper Jay Z, ‘Made in America’. Msanii huyo wa Nigeria atawasha moto…
Read More » -
Burudani
Chris Brown aanza kujisogeza kwa Rihanna
Ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini. Chris Brown ameanza kuwasha taa ya kijani kumfukuzia upya Rihanna. Chris amemfollow Rihanna…
Read More » -
Burudani
Spotify wakiri kufanya makosa kufuta nyimbo za R.Kelly na XXXTentacion
Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao wa Spotify, Daniel Ek, amesema kuwa walifanya makosa kuzifuta nyimbo za R.Kelly na XXXTentacion kwenye Playlist…
Read More » -
Burudani
Dj Khaled na Chloe x Halle kuungana na Beyonce na Jay Z kwenye OTR II Tour
Dj Khaled na Chloe x Halle atajiunga kwenye ziara ya Beyonce na Jay Z ‘OTR II Tour.’ Khaled ameshare habari…
Read More »