Habari

Tahadhari ya mvua kubwa yatolewa kwa wakazi wa Dar, Tanga na Pwani

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mvua kubwa katika mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Tanga na visiwa vya Pemba na Unguja.

Taarifa hiyo iliyotolewa na TMA, Imesema kuwa mvua kubwa itanyesha siku mbili yaani Alhamisi Oktoba 17 na Ijumaa Oktoba 18, 2019 hivyo wananchi wachukue tahadhari na mvua hizo.

Madhara yanayoweza kujitokeza ni pamoja na watu kuchelewa kazini, Na kusimama kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi na kijamii.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents