Habari

Taifa Stars na Ethiopia uwanjani leo katika mechi ya kirafiki

kilimanjaro_stars__ (640x419)

Timu ya taifa ya soka ya Tanzania, Taifa Stars imesafiri hadi jijini Addis Ababa, Ethiopia katika mechi ya kirafiki itakayochezwa leo.Taifa Stars imepewa nguvu na wachezaji wanaokipiga na TP Mazemebe Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu.

Hata hivyo Yanga ambayo ipo kambini nchini Uturuki kujiandaa na ligi kuu imewarusu wachezaji wawili tu kujiunga na kikosi cha Tanzania.

Hiki ndicho kikosi cha Taifa Stars kitakachokabiliana na Ethiopia:

Walinda milango : Juma Kaseja (Simba), Aishi Manula (Azam), Mwadini Ally (Azam)

Defenders: Aggrey Morris (Azam), Amir Maftah (Simba), Erasto Nyoni (Azam), Issa Rashid (Mtibwa Sugar), Kelvin Yondani (Yanga), Shomari Kapombe (Simba)

Midfielders: Salum Abubakar (Azam), Amri Kiemba (Simba), Khamis Mcha (Azam), Frank Domayo (Yanga), Mwinyi Kazimoto (Simba), Shabani Nditi (Mtibwa Sugar)

Forwards: John Bocco (Azam), Mbwana Samata (TP Mazembe), Thomas Ulimwengu (TP Mazembe), Mrisho Ngasa (Simba)

Wiki kadhaa zilizopita Taifa Stars iliwanyamazisha mabingwa wa Afrika timu ya Zambia kwa bao 1-0 kwenye mechi ya kirafiki iliyochezwa jijini Dar es Salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents