Fahamu

Taka za Plastiki zageuka lulu duniani, Shule moja nchini India yabuni njia mbadala ya wanafunzi kulipa ada, kwa kuwaagiza taka hizo, fahamu zaidi

Taka za Plastiki zageuka lulu duniani, Shule moja nchini India yabuni njia mbadala ya wanafunzi kulipa ada, kwa kuwaagiza taka za plastiki fahamu zaidi

Akshar Forum katika Jimbo la Assam Mashariki mwa India imebuni njia ya kipekee ya wanafunzi kulipa karo ya shule. Wanahitajika kupeleka taka za plastiki kila wiki.

Kwa mujibu wa BBC. Mradi huo ulianza kutekelezwa mwezi Oktoba mwaka 2018 baada ya waanzilishi wake kugundua kuwa plastiki zinachomwa nje ya nyumba zao. Kampeni hiyo ya kulinda mazingira ni moja ya miradi inayoendeshwa katika shule hiyo ambapo wanafunzi wanapewa elimu ya kawaida na mafunzo ya ziada itakayowawezesha kujitegemea baada ya kukamilisha masomo yao ya msingi.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents