Aisee DSTV!

TAKUKURU yawaanika waliomuomba rushwa mfanyabiashara wa KariaKoo, kufikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) imesema kuwa imetekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mhe. John Pombe Magufuli yaliyotolewa Ijumaa Juni 7, 2019 wakati wa kikao kazi na Wafanyabiashara.

Kupitia akaunti ya Twitter ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbasi ameweka taarifa ambayo inaonyesha hatua ambazo zimeanza kuchukuliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU).

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW