Michezo
Takuma Asano amejiunga na klabu ya Stuttgart
Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal ambaye ni raia wa Japan Takuma Asano amejiunga na klabu ya Stuttgart kwa mkataba wa mkopo wa muda Mrefu.
Asano,21, amejiunga na klabu hiyo ambayo imeshuka daraja Bundesliga msimu uliopita