Events
Tamaduni muziki yabariki uzinduzi wa album mbalimbali Msasani Club
Wasanii wanaounda kundi la muziki la Tamaduni muziki, wamefanya show Msasani club wikiendi ya jana, sambamba na kufanya uzinduzi wa album za wasanii wao akiwemo Mansulee(Kina kirefu), Amza(Love story), Join the Revolulion(Kadgo) na Mujwahuki(Toleo la kwanza).