Aisee DSTV!
SwahiliFix

Tamasha la Fiesta 2019 laacha historia Dodoma (Picha)

Tamasha kubwa la muziki nchini Tanzania,  Tigo Fiesta liliendelea kutimua vumbi ndani ya jiji la Dodoma na viunga vyake na kuacha historia ya aina yake kutokana na shows za nguvu ambazo zilitolewa na wasanii ambao walipata fursa ya kuonyesha mautundu yao.

Msanii wa Muziki wa Injili, Goodluck Gozbert akionyesha uwezo wake wa kuimba mbele ya maelfu ya mashabiki ndani ya tamasha la fiesta
Mwanadada Marianne Mdee ‘Mimi Mars’ akifanya vitu vyake kwenye tamasha la Tigo Fiesta 2019 Saizi Yako, lililofanyika juzi Uwanja wa Jamhuru mjini Dodoma
Msanii wa Bongofleva Abdul Chande ‘Dogo Janja’ akifanya vitu vyake kwenye tamasha la Tigo Fiesta 2019 Saizi Yako lililofanyika juzi Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW