Burudani

Tamasha la Jackson Forever lafika matamu

Michael-Jackso

Tamasha liliandaliwa na Familia ya Michael Jackson la  Michael Jackson Forever kwa lengo likiwa ni kumuenzi  mkali  huyo wa  Pop Duniani, limewatia tumaini waandaaji kwa kuuza mauzo mafupi tiketi 40,0000 katika uwanja wa Millenium Stadium Concert katika jiji la Cardiff.


Chris Hunt ambaye ndiye kiongozi wa Organizers Global Events Live wanaosimamia tamasha hilo amesema  tiketi elfu 40, zimeshauzwa, ambazo kwa sasa bado mauzo ya tiketi 10,000 ilikukamilisha kiwango cha mahitaji wa kiwanja hicho kinachoingiza watu 50,000.

Watakaoshiriki kwenye tamasha hilo ni ni Jamie Foxx, wakati  Christina Aguilera, Cee Lo Green na Smokey Robinson watatumbuiza live… Beyonce yeye ataudhulia kwa kuonyesha video yake, wakati Black Eyed Peas nao wameingia kwenye orodha ya watakao imba live.

Fedha zitakazo patikana watasaidia wenye matatizo, ikiwemo  waathirika wa Ukimwi.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents