Soka saa 24!

Tamasha la Met Gala Marekani, mastaa waonyesha mavazi yao, Lupita Nyong’o aiwakilisha vyema Afrika mashariki

Tamasha la Met Gala Marekani, mastaa waonyesha mavazi yao, Lupita Nyong'o aiwakilisha vyema Afrika mashariki

Tamasha la Met Gala, tukio lenye faida kwa Taasisi ya mavazi –Costume Institute at the Metropolitan Museum ya Art in New York, hutajwa kama moja ya tukio kubwa kabisha duniani la fasheni.

Linafahamika kwa orodha yake ya majina ya wageni maarufu wanaoalikwa , kushiriki ni gharama kubwa na zaidi ya yote nguo zinazovaliwa ni za ghali mno kulingana na mada ya mwaka.

Kwa mujibu wa BBC. Mwaka huu, mada hiyo ilikuwa ni Camp: Waraka kuhusu mitindo ya mavazi – inayoendana na onyesho lijalo katika katika Met, picha zilipigwa kwa kuzingatia inshailiyoandikwa na mpigapicha Susan Sontag mwaka 1964 iliyofahamika kama – Notes on Camp.

Hivyo basi Mavazi ya mwaka huu , sawa na onyesho yatazingatia “iujasiri, uchekeshaji , mtindo wa uandishi wenye vichekesh vya vibonzo , sanaa ya mtu mwenye kuigiza utunzi wa mwtu mwingine , kitu ambacho si halisi, maigizo na kuonyesha mambo kwa mtindo wa kupita kiasi “.

Na kumuonyesha kila mshiriki jinsi mambo yanavyopaswa kufanyika mwanzo kabisa alikuwa ni muimbaji Lady Gaga, aliyewasili akiwa ametinga gauni la rangi ya waridi linalopeperuka haikuonekana hivyo alipoingia.

Lady GagaHaki miliki ya pichaAFP
Image captionLady Gaga, mmoja wa washereheshaji wa tukio ,akiwasili akiwa ametinga gauni lake la rangi ya waridi linalopepea
Lady Gaga katika tamasha la Met Gala katika vazi lake la piliHaki miliki ya pichaAFP
Image captionAmbalo lilifungua kufichuliwa kwa gauni jeusi, vazi lake la pili …
Lady GagaHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionAmbalo pia lilifuatiwa na vazi la tatu la waridi iliyokolea lililoubana mwili wake
Lady GagaHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image caption…Ambayo aliitoa kuonyesha vazi lake la mwisho
Serena WilliamsHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionSerena Williams, ambaye alikuwa mshereheshaji mwenza, aliwasili katika vazi hili la rangi ya manjano lenye maua lililoshabihiana na raba zamazowezi za Nike
Janelle MonaeHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionNi kwanini uvae kofia moja, unaweza kuvaa nne kama Janelle Monae
Presentational white space
Lupita Nyong'o akitabasamuHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionMchezaji Filamu wa Kenya Lupita Nyong’o akitabasamu mbele ya kamera
Michael UrieHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMchezaji filamu Michael Urie aliamua kuwa na mionekano miwili kwa wakati mmoja
Presentational white space
Ezra Miller akiwa ameshikilia sanamuHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionWakati huo huo muigizaji filamu Ezra Miller, alionyesha sanaa ya vipodozi ya aina yake iliyowashangaza wengi

Kenya: Jaji wa mahakama ya juu zaidi kuchunguzwa

Katy PerryHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionKaty Perry, nae aliamua kuvaa mishumaa
Corey Gamble, Kris Jenner, Kanye West, Kim Kardashian West, Kendall Jenner, Kylie Jenner na Travis Scott walipowasili kwenye tamasha la 2019 la MetHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionFamilia inayoonyesha maisha yake halisi kwenye TV ya Kardashiansiliingia kwa kishindo kwenye tamasha la mwaka huu
Priyanka Chopra na Nick JonasHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionHawa ni wanandoa wapyaPriyanka Chopra na Nick Jonas, ambao wanasemekana kuwa mara ya kwanza walikutana kwenye tukio kama hili la Met Gala mnamo 2017
Presentational white space
Mchezaji filamu wa Kiingereza Sophie Turner na mumewe mwanamuziki Joe Jonas wakiwasili katika tukio la Met Gala 2019 - Mei 6, 2019, mjini New YorkHaki miliki ya pichaAFP
Image captionWalifuatiwa kwenye zullia jekundu na kaka mkubwa wa Nick Joe na mkewe mpya, ambaye ni nyota wa filamu ya Game of Thrones Sophie Turner
Deepika PadukoneHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMchezji filamu nyota katika Bollywood Deepika Padukone ”alitokelezea” na gauni hili la mtindo wa Barbie la rangi ya waridi
Laverne CoxHaki miliki ya pichaAFP
Image captionLaverne Cox aliingia ukumbini na gauni jeusi la hariri na vipodozi vilivyokolezwa
Presentational white space
Harry StylesHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionMshereheshaji wa tatu ni Harry Styles, ambaye alivalia vazi hili jeusi lenye suruari inayopandishwa juu
Presentational white space
Alessandro MicheleHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionAlessandro Michele, jumba la fasheni la Gucci alitinga namna hii
Presentational white space
Billy Porter
Image captionMuimbaji Billy Porter aliingia na kufungua mabawa yake mbele ya umati uliohudhuria tamasha
Jordan RothHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionmmilikiwa wa ukumbi wa maigizo Jordan Roth alijigeuza ghafla kuwa jumba la maigizo
Celine DionHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionCeline Dion, ambaye tunaweza kusema ni malkia halisi wa ‘camp’, hakuwakatisha tamaa waliomuona kwa vazi hili
Presentational white space
Jared Leto akishikilia mfano wa kichwa chakeHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMchezaji filamu Jared Leto wazi alidhihirisha kuwa vichwa viwili ni bora kuliko kimoja
Presentational white space
Yara ShahidiHaki miliki ya pichaAFP
Image captionHuku mchezaji filamu Yara Shahidi akitoka na vazi hili la manyoya…
Presentational white space

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW