Soka saa 24!

Tamasha la Shaggy Ngome Kongwe

tamasha__shagyy_face1Mwanamuziki wa kimataifa Shaggy,  alifanya bonge la tamasha katika ukumbi wa Ngome Kongwe. Mwanamuziki huyo ambaye aliamsha nyoyo za hisia watu kutokana na burudani kali iliyotoka kwenye vibao vyake vikari vilivyowahi kufanya vizuri, na hivi vya sasa ambavyo vinafanya vizuri katika chati ya muziki.

 

tamasha_shagyy_face

tamasha_waimbaji_shaggy_rafiki_yake

tamasha_shaggy_jukwaani

Shaggy akiwa jukwaani na waimbaji wake,

tamasha_shaggy__Tht

Kundi la wasanii toka nyumba ya Vipaji Tanzania, THT wakicheza ngoma za asili,

tamasha_tht_dansa

Wasanii toka Nyumba ya Vipaji Tanzania ‘THT’,
tamasha_sultan_king
Sultan Kingi, akiimba kabla ya Shaggy,
tamasha_shaggy_Nesegal

Msenegal naye alitoa buludani yake kwa kutumia vyombo vya asili vya Kisenegal,

tamasha_shagy_2

Shaggy akiendelea kutoa burudani kwa mashabiki wake,

tamasha_shaggy_1

Wanamuziki wa Zanzibar na wao walikuwa pamoja kwaajili ya kuhakisha hawafanyi vibaya mbele ya Shaggy,

tamasha_mamc

Mc Has T na Marlen akieleza mpango mzima wa burudani inavyokwenda.

tamasha_shaggy_watazamaji

Mashabiki wakichukua picha za Shaggy

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW