BurudaniEvents

tamasha la taarabu

Taarab_Khadija_Khopa_TOTBendi saba za taarabu zilikutana katika ukumbi wa New Msasani, kwaajili ya kutoa burudani kwa mashabiki, pia kuchangia fedha kwa ajili ya Uzazi salama yaani kuzuia vifo vya watoto wa wazazi.

 

Wasanii mbalimbali walikuwepo, na bendi ambazo zilikuwepo hapo za taarabu ni Coast Modern, East Afrika Modern, Kings Modern, Dar Modern na Super Shine Modern.

taarab_wapambe

taarab_Coast

Mwimbaji wa Coast Modern Taarab Maua Tego, akiimba wimbo wa Gubu la Mawifi

taarab_east

Mwimbaji wa East Afrika taarab Mwanaidi Shabani akiimba wimbo wa Umbea umekujaje
taarab_2

taarab_kinanda

Fundi mitambo nao walikuwa kazini

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents