Videos

Tamko la Alikiba laja na mambo haya matatu makubwa ikiwemo video ya wimbo mpya ‘Mshumaa’ – Video

Tamko la Alikiba laja na mambo haya matatu makubwa ikiwemo video ya wimbo mpya 'Mshumaa' - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Ali Salehe Kiba alimaarufu Ali Kiba ameachia video ya wimbo mpya Mshumaa baada ya mashabiki wake kusubiria kwa muda mrefu.

Alikiba licha ya kuachia video ya wimbo huo pia alifanya listening party ya nyimbo kadhaa ambazo anatarajia kuziachia muda sio mrefu baada ya video ya mshumaa kufanya vizuri.

Katika mkutano na waandishi wa habari alikiba alimtambulisha msanii mpya wa l;ebo ya kings Music anayejulikana kwa jina la Tommy Flavour na kutangaza tamasha kubwa ambalo litaanza atakalolifanya kwa kuzunguka Tanzania nzima.

By Ally Juma.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents