Habari

TANAPA yatoa taarifa ya tukio la Simba kujeruhi

TANAPA imetolea ufafanuzi taarifa iliyokuwa ikisambaa kwenye mitadao mbalimbali, zikihusisha Simba kujeruhiwa kwa mwalimu wa chuo cha Sinon kilichopo Kimara, Temboni jijini Dar es salaam akiwa na mwanafunzi wake kwenye mafunzo ya vitendo katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

Hifadhi ya taifa imesema aliyejeruhiwa na simba ni mtumishi (mlinzi) wa kambi ya watalii iliyopo nje ya hifadhi ya Taifa ya Tarangire ijulikanayo kama Maramboy Tented Camp, inayomilikiwa na kampuni binafsi.

Soma taarifa kamili:

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents