Habari

Tanesco warekebisha nguzo iliyodondoka

umeme_nguzo_tanesco
Juzi mvua iliponyesha nguzo ya umeme iliyopo Mabibo Makutano, iliweza kuangauka na chini kulikuwa namaji yanapita pia na wakazi wengi wa maeneo hayo walikuwa wakiyatumia masaa yote hata kama walikuwa kwenye hatari sababu umeme ulikuwa bado upo.


Lakini wakazi wa eneo hilo wanashukuru kwa sasa kwani baada ya masaa matatu tangu tuweke tangazo la kuomba msaada wa kuweka vizuri nguzo hiyo, basi ilikuja ikawekwa vizuri.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents