Habari
TANESCO yatoa taarifa kwa wateja wake
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),lina wataarifu wateja wake kuwa watafanya marekebisho ya kituo cha kupooza Umeme eneo la Kunduchi July 2,2017, kuna maeneo yatakayokosa umeme saa 2 hadi 9 Alasiri.
Soma taarifa kamili:
Na Emmy Mwaipopo