Tanzania ilikuwa zamani – Wema Sepetu

Msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu ametweet katika mtandao wa Twitter kuashiria kukerwa na jambo alilofanyiwa mtu aliyekuwa naye jana Mahakani wakati wa kusikiliza wa kesi ya Mh.Tundu Lissu.

Wema ameweka tweet hizo leo. Tazama tweet hizo.

Na Laila Sued

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW