Habari

Tanzania sio shamba la kuchungia mifugo ya nchi jirani – Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaagiza wakuu wa mikoa ya Kagera kuhakikisha mifugo yote inawekwa alama kwa mujibu wa sheria ili kurahisisha utambuzi wa mifugo inayoingizwa nchini kutoka nchi jirani. Hata hivyo Rais Magufuli amesema kuwa Tanzania sio nchi ya kuchungia mifugo ya nchi jirani ndio maana wameamua kuchukua hatua za kisheria.

Soma taarifa kamili:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents