Habari

Tanzania tunahitaji wawekezaji wa kweli – Rais Magufuli (+video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli asema kuwa Tanzania inahitaji wawekezaji ila wawekezaji wa kweli.

Mhe. Rais Magufuli ameyasema hayo leo Januari 15, 2018 kwenye hafla ya utiaji saini makubaliano kati ya Serikali na Kampuni ya Bharti Airtel kuhusu umiliki wa hisa za kampuni ya Airtel Tanzania.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents