Tanzania yatimiza miaka 49
Leo Watanzania duniani kote wanasherekea miaka 49 tangu kupata kwa uhuru wa nchi yetu.
Bongo5 inawatakia wapenzi, wazalendo na wadau wa nchi yetu hii tukufu sikukuu njema na tuzidi kuiombea iwe nchi yeney Demokrasia, maendeleo na amani.
Mungu Ibariki Tanzania.