UmbeaVideos

Tanzanite amefikishwa kizimbani kwa kubaka??


Kuna tetesi mitaani kwamba msanii Tanzanite amefikishwa kizimbani kwa tuhuma za ubakaji. Msanii huyo alifanya vizuri na ngoma yake ya ‘Kafara’ ambayo ilimletea matatizo na msanii mwenzake Diamond baada ya kudaiwa kutumia moja ya beats zake pasipo na ruksa.

Tanzanite alikuwa anakaribia kutoa single yake mpya ya ‘Sababu I love you’ hivi karibuni, lakini I guess mambo yote yatategemea matokeo ya hiyo kesi…kama ni kweli.

[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=s0R4NvqUBhI[/youtube]

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents