TANZIA: Aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva Bi Cheka afariki dunia – Video

TANZIA: Aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva Bi Cheka afariki dunia - Video

Taarifa Zilizotufikia Hivi Punde, Msanii wa Muziki Nchini Tanzania CHEKA HIJA MZEE Maarufu zaidi Kama Bi Cheka amefariki dunia mchana huu katika Hospitali ya MLOGANZILA .


.
Kwa mujibu wa Mtoto wake wa Kiume wa TANO, ADAM JUMA ameeleza Kuwa Mama yake Alikuwa Akisumbuliwa na Tatizo la Moyo Mpaka Dakika ya Mwisho. Utaratibu wa Msiba Mpaka Sasa, Familia Inapanga Jinsi ya Kwenda Hospitali na Kuweka Ratiba ya Mipango ya Mazishi Ambayo wataitangaza Hivi Karibuni.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW