Habari

TANZIA: Mbunge Ngonyani (Profesa Majimarefu) afariki dunia

Mbunge wa Korogwe vijijini (CCM), Stephen Ngonyani (Profesa Maji Marefu) amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano ya Umma na Huduma kwa wateja wa Muhimbili, Aminiel Aligaesha amethibitisha.

June 6, 2018 Mbunge huyo alifiwa na mke wake, Mariam aliyekuwa akipatiwa matibabu hospitali ya Taifa Muhimbili.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents