Habari

TANZIA: Mbunifu wa filamu za Spider-Man, the X-Men, Iron Man, Black Panther, The Incredible Hulk na the Fantastic Four afariki dunia 

Mkongwe wa maswala ya uwandishi wa vitabu vya ‘Caton’ maarufu kama ‘Comics’ na mbunifu wa filamu za Spider-Man, the X-Men, Thor, Iron Man, Black Panther, Silver Surfer, The Incredible Hulk na the Fantastic Four, anayejulikana kwa jina la Stan Lee amefariki dunia.

Image result for Stan Lee craetive Spider Man and Iron Man

Stan Lee amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95, huku akikumbukwa zaidi kwa ubunifu wake katika filamu hizo maarufu duniani kote akiwa kama mwandishi, mhariri na mchapishaji wa ‘Marvel Comics’.

 

Lee aliyeanza kazi hiyo kuanzia mwaka 1939 na kubuni Black Panther, Spider-Man, the X-Men, the Mighty Thor, Iron Man, the Fantastic Four, the Incredible Hulk, Daredevil na  Ant-Man, zenyestori nzuri zinazoendana uhalisia wa maisha ya kawaida amefariki dunia hapo jana siku ya Jumatatu huko Cedars-Sinai Medical Center jijini Los Angeles na familia yake kumwambia mwandishi waHollywood.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents