Habari

Tanzia: Mke wa Ephraim Kibonde afariki dunia

Mke wa Mtangazaji wa Clouds FM katika kipindi cha Jahazi, Ephraim Kibonde anayejulikana kwa jina la Sara Kibonde amefariki dunia.

Kwa mujibu wa mtangazaji mwenzake, Gadner G. Habash amesema kuwa mke wa Kibonde aitwaye Sara amefariki usiku wa Jana akiwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Hindu Mandal.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents