Habari

TANZIA: Mtoto wa kike wa Nelson Mandela, Zindzi Mandela aaga dunia

Zindzi Mandela, mwana wa rais wa zamani wa Afrika Nelson Mandela na Winnie Madikizela – Mandela, amefariki dunia kwa mujibu wa chombo cha habari cha taifa hilo SABC.

Zindzi amefariki mjini Johannesburg mapema Jumatatu akiwa na umri wa miaka 59. Kifo chake kimethibitishwa na chanzo kimoja cha familia, kimesema chombo cha habari cha SABC. Alikuwa balozi wa Afrika Kusini nchini Denmark. Amewaacha nyuma watoto wanne na mumewe.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents