Burudani

Tanzia: Mwanamuziki mkongwe Afrika Kusini afariki dunia

By  | 

Mwanamuziki wa Jazz kutoka nchini Afika Kusini, Ray Phiri mwenye miaka 70 amefariki dunia jana.

Imeeleza kuwa mwanamuziki huyo ambaye ni moja ya waanzilishi wa bendi Stimela, amefariki kutokana na ugonjwa wa saratani ya mapafu.

Kwa mujibu wa watu wakaribu wamesema kuwa marehemu amefariki akiwa amezungukwa na marafiki pamoja na ndugu zake.
“He had been battling for a while and his family was told that it wouldn’t be that long. He died surrounded by friends and family and looked peaceful as he passed‚” ameeleza Paul Nkanyane mtu wa karibu na marehemu kupita Times LIVE.

Naye Rais wa Afika ya Kusini Jacob Zuma amesema “He was a musical giant. This is indeed a huge loss for South Africa and the music industry as a whole. We are with his family in thoughts and prayers during this trying period. May his soul rest in peace.”

Na Laila Sued

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments