Habari
TANZIA: Rais Magufuli alivyotangaza kifo cha rais Mstaafu Benjamin Mkapa (+Video)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli ametangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Tanzania Benjamin William Mkapa.