Habari

TANZIA: Rais Magufuli apatwa na msiba mzito

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli asubuhi ya Leo Agosti 19, 2018 familia yake imepatwa na msiba mzito.

Jana Rais Magufuli alipomtembelea marehemu dadayake katika hospitali ya Bugando, Mwanza kabla ya umauti kumkuta.

Msiba huo ni wa dada yake, aitwaye  Bi. Monica Joseph Magufuli ambaye alikuwa amelazwa  katika hospitali ya Bugando Jijini Mwanza kwa muda mrefu akipatiwa matibabu.

Related Articles

17 Comments

  1. Kule kwenye JamiiForums mtu akitaka kufahamu jinsi watu walivyogawanyika kihisia ukitafakari kwa kina utajua ni kwa jinsi gani WaTz ‘walivyovurugwa’ aisee. Na hapa ni lazima mhusika ayapime yale mawazo ya wengi kupitia ‘comments’ zao na ajitafakari kwa kina kama anavyofanya anakosea au la!

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents