Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

TANZIA: Sure Boy wa Azam FC afiwa na mama yake mzazi

Kiungo wa Azam FC Salum Abubakar maarufu kama Sure Boy amepatwa na msiba mzito wa kufiwa na Mama yake mzazi.

Taarifa hizo zimetolewa na uongozi wa klabu hiyo ambapo wamesema msiba huo upo Magomeni jijini Dar es Salaam katika mtaa wa Lubusha na mazishi yatafanyika Alhamisi hii majira ya saa 10.

Hata hivyo bado haijhafahamika chanzo cha msiba huo.

Bongo5 tunatoa pole kwa msiba huo na pia tunamuombea roho ya marehemu ilazwe mahali pema peponi, Amiina.

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW