Aisee DSTV!

Tanzia: Wafanyakazi watano wa Azam media wapata ajali Singida wakielekea Chato

Tanzia: Wafanyakazi watano wa Azam media wapata ajali Singida wakielekea Chato

Watu saba wakiwemo wafayakazi watano wa Azam TV wamefariki katika ajali nchini Tanzania.

Ajali hiyo imetokea Shelui, Singida na kuhusisha magari mawili yaliyogongana uso kwa uso.

Wafanyakazi hao wa Azam TV walikuwa njiani kwenda kurusha matangazo mbashara ya uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida Sweetbert Njewike ameiambia BBC kuwa ajali hiyo imetokea saa mbili asubuhi hii leo.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW