Habari

Tasnia ya muziki wa R’n’B duniani yapatwa na pigo

Msanii wa muziki wa R’n’B duniani imepatwa na pigo kubwa baada ya kuondokewa kwa msanii nguli wa muziki huo, James Ingram kufariki duniani .


James Ingram

Nguli huyo wa muziki wa R’n’B kutoka Marekani amefariki kwa ugonjwa wa kansa ya ubongo .

Ingram (66) enzi za uhai wake, alishawahi kushinda tuzo kubwa kama za Grammy, MTV na BET .

Katika kazi ambazo alishawahi kuandika za wasanii wengine, ni wimbo wa P.Y.T wa Michael Jackson.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents