Habari

Tazama A-Z ya mazishi ya baba yake Alikiba, Waziri Kigwangalla, Mwana FA, Dully Sykes na mastaa kibao wahudhuria (+video)

Tazama full video ya mazishi ya mwili wa baba yake msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba marehemu, Mzee Saleh Kiba yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar Es Salaam.

Kwenye mazishi hayo, yamehudhuriwa na watu wakiwemo viongozi wa Serikali na wasanii wa muziki.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents