Habari
Tazama Bunge Live Mkutano 11 Kikao cha 33 – May 21, 2018
Kikao cha 33, mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinaendelea jijini Dodoma, Leo Bunge linaongozwa na Mwenyekiti wa Bunge,Andrew Chenge. Angalia kipindi cha Maswali na Majibu leo May 21, 2018
https://www.facebook.com/bungetz1/videos/1042535999246315/?t=404