Tazama Bunge Live Mkutano 11 Kikao cha 50 – June 13, 2018
Kikao cha 50, Mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaendelea Jijini Dodoma, Leo Bunge linaongozwa na mwenyekiti wa Bunge,Azzan Zungu. Angalia kipindi cha Maswali na Majibu leo June 13, 2018.
Bunge la Tanzania: MKUTANO WA KUMI NA MOJA, KIKAO CHA 50- TAREHE 13 JUNE 2018 ASUBUHI
Posted by Bunge la Tanzania on Tuesday, June 12, 2018