Habari
Tazama Bunge Live Mkutano 11 Kikao cha 52 – June 18, 2018
Kikao cha 52, Mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaendelea Jijini Dodoma, Leo Bunge linaongozwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai. Angalia kipindi cha Maswali na Majibu leo June 18, 2018.
https://www.facebook.com/bungetz1/videos/1062437657256149/?t=3186