Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Tazama Bunge Live Mkutano 11– May 15, 2018

Kikao cha 29, mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinaendelea jijini Dodoma, Leo Bunge linaongozwa na na Mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge. Angalia kipindi cha Maswali na Majibu leo May 15, 2018.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW