Shinda na SIM Account

Tazama dancing video ya msanii wa Rwanda

Wewe ni mpenzi wa kudansi? Msanii Mr D kutoka Rwanda ambaye anaishi nchini Marekani amekuletea burudani hiyo.

Msanii huyo ameachia video yake ya dansi ambayo imetoka kwenye wimbo wake wa ‘Yolo’ ambao aliuachia mwezi Novemba 2016.

Video hiyo ya dansa imefanyika hapa nchini Tanzania.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW