Burudani

Tazama episode ya 1 ya tamthilia fupi ya Kitendawili

Kwa mara ya KWANZA Tanzania, Amby Lusekelo anakuletea tamthilia ya #Kitendawili. Amby Lusekelo anakuletee tamthilia ya Kitendawili; tamthilia fupi ya aina yake na ya kwanza nchini Tanzania, kwa kua itapatikana kwenye mtandao tu kupitia simu yako ya kiganjani.

Kitendawili inayokukutanisha na mwanadada Nadia ambae kama watu wengi, ammekuja Dar es Salaama kutoka kijijini kwao. Akiwa na mpenzi wake, Ibrahim, Nadia yuko katika harakati za kutafuta maisha mazuri.

Je ataweza kupata vyote anavyokusudia au atahatarisha kila kitu alichonacho kwa maamuzi yake? Tamthilia hii inaendelea kwa hiyo usikose wiki nzima ya mikasa ya Nadia. Like page ya Kitendawili Facebook uzipate episodes zote.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents