Michezo

Tazama live droo ya makundi ya Kombe la Dunia 2018

Shirikisho la soka duniani (FIFA) leo desemba mosi linatarajia  kutangaza ratiba ya makundi ya Kombe la Dunia kwenye droo itakayochezeshwa nchi 32 washiriki wa michuano hiyo mikubwa zaidi duniani.

Michuano hiyo inatarajia kufanyika mwezi juni mwakani 2018 nchini Urusi ambapo tayari bingwa mtetezi wa kombe hilo Ujerumani inapewa nafasi kubwa kufanya vizuri. Tazama droo hiyo live hapa chini

 

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents