Burudani

Tazama picha 10 za mrembo anayetajwa kuwa ndiye mchumba mpya wa Diamond Platnumz

Wikiendi iliyopita Diamond Platnumz akiwa jukwaani mkoani Mtwara alitangaza kuwa ameambatana na mchumba wake mpya ambaye hakumuweka wazi.

Sasa Bongo5 imezinyaka picha 10 za mrembo huyo anayejulikana kwa jina la Tanasha Donna asili yake ni Mkenya/Muitaliano na kazi yake ni Mwanamitindo na Mtangazaji wa  Radio NRG Radio.

Kwa wale ambao hawamfahamu vizuri Tanasha, kipindi cha nyuma alishawahi kufanya kazi na Alikiba, na ameonekana kwenye video ya wimbo wa Nagharamia kama video Vixen .

Jina maarufu analolitumia nchini Kenya, ni Zahara Zaire na muda mwingi amekuwa akiishi ughaibuni. Baba yake ni Muitaliano na mama yake ni Mkenya.

Picha zote ni kutoka kwenye ukurasa wake rasmi wa Instagram – https://www.instagram.com/tanashadonna/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents