Michezo

Tazama picha za matukio: Malinzi, Aveva, Mwesigwa na Kaburu mahakamani

Rais wa shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF, Jamal Emil Malinzi, katibu mkuu wa TFF, Mwesigwa Celestine, rais wa klabu ya Simba Evans Aveva pamoja na makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ wakiwa mahakama ya hakimu mkazi kisutu hii leo kwa makosa mbalimbali.

Rais wa klabu ya Simba, Evans Aveva, makamu wake,Geofrey Nyange ‘Kaburu’ ,rais TFF, Jamal malinzi na Mwesigwa Celestine wakiingia mahakamani leo

Rais wa TFF,Jamal malinzi(katikati), makamu wa klabu ya Simba,Geofrey Nyange ‘Kaburu’(kulia) na katibu Mkuu wa TFF,Mwesigwa Celestine (kushoto)

Rais wa TFF,Jamal malinz, makamu wa klabu ya Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’na katibu Mkuu wa TFF,Mwesigwa Celestine wakiteta jambo na mawakili wao

Rais wa klabu ya Simba, Evans Aveva,(kulia) makamu wake,Geofrey Nyange ‘Kaburu’ (wapili kutoka kulia) Katibu mkuu wa TFF, Mwesigwa Celestine (wamwishokushoto) na ,rais TFF, Jamal malinzi (wapili kutoka kushoto) wakiingia mahakamani leo

 

 

 

 

Waandishi wa habari pamoja na wadauwa soka wakifuatilia mwenendo wa kesi mahakamani kisutu, Dar es salaam

 

 

Nje ya mahakama waandishi wa habari wakiwa wanafuatilia kinachoendelea katika kesi hiyo inayowakabili viongozi wa soka nchini

BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents