Michezo

Tazama ratiba ya hatua ya robo fainali ya UEFA, timu za Hispania ngoma nzito

Hayawi hayawi na sasa yamekuwa. Hatimaye droo ya robo fainali ya kombe la klabu bingwa barani Ulaya imepangwa.

Katika hatua hiyo Juventus watacheza na Real Madrid na Barcelona wamepangwa kucheza na AS Roma ya Italia.

Wakati huo huo Liverpool watacheza na Manchester City wakati Sevilla ambao waliwang’o manchester united katika hatua ya 16, wamepangwa kucheza na Bayern Munchen.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents