Videos

Tazama video ya msanii wa Rwanda, T-Wise aliyomshirikisha Shizzo

By  | 

Msanii T-Wise kutoka nchini Rwanda ambaye anaishi Marekani, ameachia video yake ambayo amemshirikisha Shizzo, Back To Me. Ngoma hiyo imetayarishwa na Florizzy na video imeongozwa na Cedric.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments