Habari

Tazama wananchi walivyowaumbua viongozi wa Wilaya ya Kinondoni na Serikali za Mitaa mbele ya RC Makonda na Waziri Lukuvi (+video)

Viongozi mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni na Serikali wa Mitaa wamejikuta wakiumbuliwa na wananchi mbele ya Waziri wa ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda juu ya utendaji wao wa kazi katika kutatua migogoro ya ardhi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents