Habari

Tazama zomeazomea ilivyoibuka Bungeni leo (+video)

Zomea zomea imeibuka leo, Juni 25, 2018 Bungeni jijini Dodoma na kumfanya Mwenyekiti wa Bunge, Azzan Zungu kuwaonya wanaofanya vitendo hivyo kuacha mara moja na kusikiliza michango ya wenzao na wasipoweza watoke nje.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents